This archive report was first published on 12 November 2019.
Uwakilishi wa kisasa wa kupiga mswaki ni muhimu kwa afya ya meno na kinywa. Kila siku, kupiga mswaki mara mbili, asubuhi na usiku kabla ya kulala, husaidia katika kuondoa bakteria mdomoni.
Wakati mwingine, haitaji kusuuza mdomo kwa maji, dawa iliyobakia mdomoni husaidia katika kuendelea kupambana na viini vinavyosababisha meno kuoza.
Uwakilishi wa kisasa wa kupiga mswaki unajumuisha kubadilisha mswaki kwa mipya baada ya miezi 3-4, au wakati mswaki unapoharibika. Pia ni bora kutumia dawa yenye madini ya fluoride.
Weka mswaki wako katika degrii 45 na meno ili ugusane vyema na meno, fizi. Sugua meno yako kwa mzunguko mduara na rejelea sehemu za ndani za meno na fizi.
Wakati mwingine, huitaji kusuuza mdomo kwa maji, dawa iliyobakia mdomoni husaidia katika kuendelea kupambana na viini vinavyosababisha meno kuoza.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsApp: 0732482690.