Skip to main content

Mgombea Kibra apata kura 59 baada ya kutumia KSh 900, 000 kwenye kampeni ▷ Kenya News

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 8 November 2019.

Mgombea Kibra apata kura 59 baada ya kutumia KSh 900, 000 kwenye kampeni

Uchaguzi mdogo wa Kibra ulikuwa na uchaguzi wa kisiasa wa Kenya, ambapo wanasiasa waliingia kwenye ushindani huku wakitumia maelfu kujipigia upato.

Wanasiasa waliingia kwenye ushindani huku wakitumia maelfu kujipigia upato, na baadhi yao walitumia zaidi ya KSh 1.2M kwenye kampeni.

Kiti cha Kibra kilinyakuliwa na mgombea wa ODM Imran Benard Okoth kwa kujizolea kura 24, 636 na kufuatiwa kwa mbali na Mariga akiwa na 11, 230.

Watatu alikuwa ni mgombea wa ANC Eliud Owalo huku Editar Achieng aliyekuwa akiungwa mkono na Mwangi akishika nafasi ya sita.

Editor Achieng alikuwa na kura 59 na Mwangi alifichua kuwa walifanya kampeni vikali na kutumia KSh 900, 000.

Mariga alikubali ushindi na kumpongeza Okoth kwa ushindi huku akiahidi kufanya kazi naye.

"Vipi boss, ni Mariga na nakupigia simu kukupa heko kwa ushindi. Ushindani ulikuwa mzuri na niko tayari kufanya kazi na wewe ili kusaidia watu wa Kibra. Sasa uchaguzi umeisha na tutabakia marafiki na tufanye kazi pamoja," alisema Mariga.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →