This archive report was first published on 4 November 2019.
Uganda: Walimu Wakamatwa Kwa Kuwauzia Mitihani Feki Ya Kitaifa ¶
Walimu kadhaa waliokamatwa Uganda wakiuza mitihani feki ya kitaifa, waswekwa ndani.
Washukiwa hao waliokamatwa na Bodi ya Kitaifa ya Mitihani nchini Uganda (UNEB) kwa ushirikiano na polisi waliuza mitihani feki ya kitaifa kwa pesa nyingi kutoka shule kadhaa.
Wakati waakamatwa, UNEB haikuwa imeruhusu Mitihani yoyote ya Kitaifa kwa Shule za Msingi. Wahuni hawa wamekuwa wakikusanya pesa nyingi kutokea Shs 400,000 (KSh 11,000) hadi Shs 10m (KSh 277,837m) kutoka shule kadhaa huku wakiahidi kuwaletea mitihani halisi kutoka UNEB.
Naibu Msemaji wa Polisi nchini Uganda, Bi Polly Namaye, alisema kuwa miongoni mwa washukiwa hao ni walimu wakuu na kufikisha idadi ya waliokamatwa kufikia kumi.
Shule wanakotokea walimu hao hazikutajwa kwa kuhofia maisha ya wahusika na pia ya wanafunzi wao ambao ni watahiniwa.
Washukiwa hao waliokamatwa wamekuwa wakikusanya pesa kwa kuwauzia mitihani feki ya kitaifa kwa shule kadhaa, huku wakiahidi kuwaletea mitihani halisi kutoka UNEB.