This archive report was first published on 22 October 2019.
Wanawake Wageukia Masumbwi Kutoboa Maisha Magumu ya Vitongojini Kampala, Uganda ¶
Maisha ya vitongojini ya Kampala, Uganda, ni kipindi cha hatari kwa wanawake, lakini Hellen Baleke, mwanamke wa Uganda, ameshinda medali ya shaba katika mashindano ya Bara Afrika yaliyofanyika Agosti, jijini Rabat, Morocco, na kuwa mwanamke wa kwanza nchini Uganda kushinda medali ya ndondi baada ya miaka 18.
Alipokuwa akitembea katika mitaa yao ya mabanda ya Katanga jijini Kampala, Uganda, Baleke alipomjia na kuanza kumshikashika, lakini alibadilisha lengo wake na kujitayari kumshikisha, na kisha kumshinda nguvu.
Alirejea nyumani huku akitokwa na damu mdomoni na hata pua, na hakumwambia mama yake Sarah Bagoole, kilichotokea wala alichopanga kumfanyia mvulana huyo. Alianza kutoka nyumbani kwa kuhepa na kwenda kufanya mazoezi ya ndondi.
"Sikupenda mvulana kunigusa hata kidogo kwa kuwa nilijua matokeo yangekuwa mimba au virusi vya HIV kwa hivyo aliponigusa nikataka kupigana naye lakini alinipiga na kushinda nguvu," alisema Baleke wakati akihojiwa na ripota wa Voice of America jijini Kampala.
Alirejea nyumani huku akitokwa na damu mdomoni na hata pua, na hakumwambia mama yake Sarah Bagoole, kilichotokea wala alichopanga kumfanyia mvulana huyo. Alianza kutoka nyumbani kwa kuhepa na kwenda kufanya mazoezi ya ndondi.
"Siku nyingine nilimsubiri na alipofika akaniambia, 'mama nimempiga msichana wa watu,' nilishtuka na kumuuliza umempiga msichana wa wenyewe! Utapigwa mpaka utambue," alisema Bagoole.
Alirejea nyumani huku akitokwa na damu mdomoni na hata pua, na hakumwambia mama yake Sarah Bagoole, kilichotokea wala alichopanga kumfanyia mvulana huyo. Alianza kutoka nyumbani kwa kuhepa na kwenda kufanya mazoezi ya ndondi.
Maureen Ojambo, mmoja wa watu wanaokuja kupata mazoezi hayo, anasema kwamba yanamsaidia kuepukana na vitu vingi visivyofaa.
"...baadhi ya wasichana nawaona, wanakunywa pombe, dawa za kulevya wengine wamepata Ukimwi na hawawezi kuwalea watoto wao vizuri, inaniuma sana," alisema Ojambo.
Kitongoji duni cha Katanga kina idadi ya watu wasiopungua elfu 20 wanaoishi katika mazingira yaliyorundikana, ambayo ni hatari kwa wanawake.
"Wengi wanakuja kwa lengo la mazoezi kulipiza kisasi, lakini wakija mimi nawashauri ndondi si hivyo, badala yake nawasaidia kufahamu ndondi ni biashara inayoweza kumsaidia mtu kuunda pesa," alisema Innocent Kapalata, kocha wa kituo cha mazoezi cha Rhyno Boxing Club.