Skip to main content

Bridget Achieng' Amepatia Mwanawe Mtindo wa Kipekee wa Kimavazi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 10 October 2019.

Aliyekuwa mwigizaji wa filamu ya Nairobi Diaries na sosholaiti maarufu Bridget Achieng' amedhibitishia wafuasi wake kwamba anaweza kuwa mama bora zaidi kuliko akina mama wote ulimwenguni.

Hii ni kutokana na jinsi anavyompatia malezi mema mwanawe, Sekani Rich mwenye umri wa miezi 8.

Bila shaka, Bridget amempatia mwanawe maisha ya kifahari na ya kupendeza hasa kulingana na picha ambazo amekuwa akichapisha mitandaoni.

Sekani, ambaye hata hajafikisha umri wa mwaka mmoja, ashaonyesha dalili za kuwa msanii au 'celeb' mkubwa hivi karibuni.

Tazama baadhi ya picha za kuvutia za Sekani.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →