Skip to main content

Mama aaga dunia baada ya kujaliwa pacha 3 licha ya kusubiri miaka 9.

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 30 June 2020.

Mama aaga dunia baada ya kujaliwa pacha 3 licha ya kusubiri miaka 9

Mama mmoja ameaga dunia baada ya kujifungua pacha watatu siku ya Ijumaa, Juni 26 asubuhi.

Alisubiri kwa miaka tisa katika ndoa kabla ya kujaliwa watoto hao.

Chanzo cha kifo cha mama huyo hakijafichuliwa wala hali ya malaika hao.

Alitoa ripoti hiyo kupitia kitandazi cha Twitter, mwanamtandao aliyetambuliwa kama Sarki Sulieman, alieleza kuwa marahemu ambaye alikuwa halati wake, alisubiri kwa miaka tisa kabla ya kujaliwa watoto hao.

Alionekana kana kwamba alikuwa anawalaumu mama wakwe na kuwataka wajirekebishe.

Alisema, "Kwa hivyo baada ya miaka tisa katika ndoa na bila mtoto, halati yangu amejifungua pacha watatu, Mungu ni wa maajabu. Mama wakwe wanatakiwa kujirekenisha," alisema Sulieman.

Alisema pia, "Halati wangu ameaga dunia, mbona Mungu?"

Alisema hata hivyo, mwanamume huyo hakuelezea chanzo cha kifo cha halati yake mpendwa.

Alisema, "Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690."

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →