Skip to main content

Kafyu kote nchini yaongezwa kwa siku thelathini zaidi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 6 June 2020.

Uamuzi wa kutolegeza mikakati ya kukabiliana na janga la corona ulikuwa kibarua cha ziada kwa rais Uhuru Kenyatta.

Uamuzi huo ulichukua siku mbili za mikutano ya ziada, na kufanya jumla ya siku thelathini zaidi za kafyu kote nchini.

Uamuzi huo ulikuwa na madhumuni ya kukuza usalama wa wakazi wa nchi na kuzuia ugonjwa wa corona kutoka kwa nchi nyingine.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →