This archive report was first published on 20 May 2020.
Mzigo wa kulipa kodi ya nyumba unazidi kuwa suala la kawaida kwa wakenya wengi. Baadhi wakijipata katika mikono ya wamiliki wa nyumba wasiokuwa na huruma.
Video hii inaonyesha kile kinachotokea kwa wamiliki wa nyumba wanaokosa pesa za kulipa kodi ya nyumba.
Published on May 20, 2020 by Kenyan Digest.