Skip to main content

Uhondo kuhusu sababu ya baadhi ya wanawake kulia baada ya kushiriki ngono

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 28 December 2019.

Uhondo kuhusu sababu ya baadhi ya wanawake kulia baada ya kushiriki ngono

Mapenzi ni kilele cha hisia, lakini baada ya hapo, kuna hali itakayokufanya hatimaye udondoshe chozi japo dogo tu. Kuna sababu nzuri ambayo huweza kusababisha mpenzi wako kulia baada ya kushiriki ngono naye.

Wanasema ni kawaida kwa kuwa visima vya machozi huweza kufuguka wakati wowote - iwe ni unapotizama filamu, unaposikiza muziki, unapofuatilia simulizi na kadhalika. Kando na hisia za mtu kwa mwenzake, kuna sababu ya kisayansi - homoni inayomfanya mpenzi wako hasa wa kike kulia.

Denise Knowles, mtaalamu wa masuala ya ngono, anasema kwamba wengi hulia wanapofika kileleni kwa sababu baada ya hapo ile hali ya mwili kuachana na ule wa mpenzi wako, furaha na kuridhika huisha. Zile homoni za kusisimua mwili (oxytocin na dopamine) hupungua baada ya ngono na hukuacha mpweke na hali hiyo huweza kumfanya mtu kulia.

Mapenzi ya baada ya ngono yanaweza kuelezwa kuwa asalichungu hali ambayo sio furaha wala huzuni. Sio sana machozi hayo kuwa ya huzuni, ni hisia tu za kusema 'tumefanya mapenzi na naogopa kukuacha', tatizo lake ni 'tutakutana tena lini ili niwe karibu nawe tena'?

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →