Skip to main content

Maafisa wa KWS wanaswa kwa kuwaibia jamaa waliokuwa wametoka sherehe ya kulipa mahari

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 28 December 2019.

Maafisa wa KWS waliwakamata baada ya kudaiwa kuwaibia jamaa wa familia moja ambao walikuwa wametoka sherehe ya kulipa mahari. Hii ilikuwa baada ya makachero wa Idara ya Upelelezi (DCI) kuchunguza uhalifu huo.

Maafisa waliokamatwa wakiwemo James Lamata, Brian Kiplangat, Dad Sid, na Peter Kirui, walikuwa wakihudumu katika kituo cha KWS cha Samburu.

Waathiriwa walikuwa wametoka eneo la Lodogojek kabla ya kuvamiwa na maafisa hao ambao walikuwa katika gari la aina ya Land Cruiser.

Maafisa hao walikuwa wameibia KSh 9,500 miongoni mwa mali nyinginezo, kwa mujibu wa ripoti ya DCI.

Washukiwa hao walinaswa baada ya makachero wa DCI kuandaa kwenye gwaride.

Washukiwa watafunguliwa mashtaka ya wizi wa kimabavu.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →