Skip to main content

Nguruwe: Mnyama Safi Zaidi Duniani

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 28 December 2019.

Nguruwe: Mnyama Safi Zaidi Duniani

Nguruwe ndiye mnyama safi zaidi duniani, na sababu kuu ni kwamba hawawezi kuchafua makazi yao kwa kinyesi. Hii ni tofauti na wanyama wengine ambao wanaweza kuchafua makazi yao kwa kinyesi.

Nguruwe hasa wanaofugwa nyumbani hukuzwa na wakulima kwa ajili ya nyama na ngozi. Nywele zao ngumu hutumika pia kwa kutengeneza brashi.

Nguruwe hawana tezi za jasho, hivyo hujipoza kwa kutumia maji au tope wakati wa joto kali. Pia hutumia matope kama njia ya kujikinga na kuunguzwa na jua. Zaidi, matope huzuia wasiathiriwe na inzi na vijidudu.

Nguruwe wanaofugwa nyumbani hulazimika kunya katika makazi yao, ambayo ni tofauti na wenzao katiki misitu au wanaoishi mbugani. Wanyama hawa hawawezi kufanya hivyo, na lazima watakimbia kwenda mbali zaidi na mapango yao wanaposikia haja.

Nguruwe hasa wanaofugwa nyumbani hukuzwa na wakulima kwa ajili ya nyama na ngozi. Nywele zao ngumu hutumika pia kwa kutengeneza brashi. Baadhi ya spishi za nguruwe, kama vile wale wa Asia, "pot-bellied pig", huwekwa kama wanyama wa ndani wapenzi.

Nguruwe wanatajwa kuwa wanyama werevu sana na wanaweza kupewa mafunzo na kuwa mnyama kipenzi (pet). Na wakipewa mafunzo inavyostahili, nguruwe wanaweza kufuata maagizo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →