This archive report was first published on 27 December 2019.
Maafisa 2 wa magereza walishambuliwa na umati na kujeruhiwa baada ya kumkamata raia mmoja ambaye alitoroka akiwa na pingu na kuaarifu wahudumu wa bodaboda.
Maafisa hao walikuwa wamemkamata jamaa mmoja ambaye alitoroka akiwa na pingu na kuaarifu wahudumu wa bodaboda, na kisha walishambuliwa na umati na kupewa kichapo cha mbwa.
Waathiriwa Joseph Maina Muriithi na George Gichoni Njuguna wanahudumu katika gereza la Viwandani na kwa sasa wanapokea matibabu katika hospitali ya Thika Level 5.
Maafisa wawili wa magereza walishambuliwa na umati na kupewa kichapo cha mbwa Ijumaa, Disemba 27, baada ya kumkamata raia mmoja ambaye alitoroka akiwa na pingu na kuaarifu wahudumu wa bodaboda.