Skip to main content

Ndege Iliyokuwa na Abiria 100 Yaanguka Kazakhstan

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 27 December 2019.

Disemba 27, 2019, ndio siku ambayo ndege ilikuwa ikiondoka mji wa Almaty kuelekea mji mkuu wa nchi hiyo, Nursultan.

Iliondoka na abiria 95 na wahudumu watano wakati ilipopata hitilafu na kugonga ukuta na hivyo kuanguka.

Waokoaji walikimbia kwenye eneo hilo ambapo walioepuka kifo walipata huduma za kwanza kabla ya kukimbizwa hospitali.

Waangalifu wamekumbana na mkasa huo wa ndege iliyokuwa na abiria 100 na kuanguka Kazakhstan.

Shirika la habari la BBC liliripoti kwamba zaidi ya abiria 60, wakiwemo watoto, walijeruhiwa na kukimbizwa hospitali.

Kituo cha ndege iliyokuwa na abiria 100 na kuanguka Kazakhstan. Picha: Reuters

Rais wa nchi hiyo Qasym-Jomart Toqayev tayari ametuma rambirambi zake kwa jamaa za walioangamia kwenye mkasa huo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →