This archive report was first published on 26 December 2019.
Alhamisi, Disemba 26, 2019, alikuwa siku mbaya kwa familia ya afisa wa polisi wa 35 miaka ambaye alifariki dunia baada ya kugongwa na gari mapema.
Polisi Nickson Kiprono alikuwa akivuka barabara mwendo wa saa nane usiku alipogongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na dereva aliyetambulika kama Jackline Nduku Nzioko.
Uchunguzi kuhusu kilichosababisha ajali hiyo unaendelea.
Alipogongwa, afisa huyo alivunjika mguu na kupatwa na majeraha mabaya ya kichwani.
Alifariki akipokea matibabu Nairobi Hospital.
Uchunguzi kuhusu kilichosababisha ajali hiyo unaendelea.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.