Skip to main content

Krisimasi Yageuka Mauti: Watu 5 Wateketea Ndani ya Nyumba

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 26 December 2019.

Disemba 25, 2019, ilikuwa siku ya kifo kwa watu wanne wa familia moja katika Mathira, Nyeri, baada ya moto kushika nyumba yao usiku wa Jumatano.

Watu hao walikuwa mama, mumewe, watoto wawili pamoja na mama wa familia aliyekuwa amefika kujumuika nao kwenye shamrashamra za Krisimasi.

Naibu kamishana wa Mathira Mashariki Patrick Meso alidhibitisha kisa hicho Alhamisi, Disemba 26, 2019, na kuwa uchunguzi kuhusiana na kisa hicho umeanzishwa ili kubaini yaliyojiri.

Uchunguzi huo unalenga kubainisha sababu za moto huo na kuhakikisha kwamba hali hiyo haishughulikiwe tena.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →