Skip to main content

Kidosho atishia kumnyima lofa asali Krismasi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 25 December 2019.

Kidosho atishia kumnyima lofa asali Krismasi

Demu ilizuka kwenye ploti moja mtaa wa Maili Nane, Eldoret baada ya kidosho kumzomea vikali lofa kwa kukataa kumpeleka mashambani msimu huu wa Krismasi.

Alidaiwa kidosho alikasirika sana na akatishia kumnyima buyu la asali hadi mwaka mpya utakapobisha.

Alipewa kipusa na polo, alimtaka amjulishe jambo ambalo alipanga kumfanyia iwapo safari ya nyumbani haingewezekana.

Alidaiwa polo aliamua kufunga kinywa kwa kuhofia aibu hususan baada ya demu kumuarifu kwamba atajipeleka mwenyewe nyumbani kwa akina polo iwapo hayupo tayari kuandamana naye.

Demu ilizuka kwenye ploti moja mtaa wa Maili Nane, Eldoret baada ya kidosho kumzomea vikali lofa kwa kukataa kumpeleka mashambani msimu huu wa Krismasi.

Alidaiwa kidosho alikasirika sana na akatishia kumnyima buyu la asali hadi mwaka mpya utakapobisha.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →