Skip to main content

Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu Ang'atuliwa

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 19 December 2019.

Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu Ang'atuliwa

Kitendo hiki kilikuwa kufuatia kesi ambayo Ferdinand Waititu alivyovunja sheria ya ununuzi na kutumia mamlaka yake visivyo.

Msuada uliowasilishwa katika bunge hilo na Mwakilishi Wadi (MCA) Solomon Kinuthia wa Ndenderu ulikuwa umewekwa kwa wabunge 63 kati ya 92.

Wakati wa kesi hiyo, gavana huyo pia alishtumiwa kwa kuajiri kazi vibarua zaidi ya 600 bila ya kuhusisha Bodi ya Kaunti ya Kuajiri Wafanyakazi wa Umma na baadaye kuwafuta kazi.

MCAs walisema kuwa, kiongozi huyo aliiweka kaunti hiyo katika hali mbaya na kuichafua picha na wakati huohuo kuiweka katika hatari ya kukumbwa na kesi nyingi na kupotea kwa pesa za umma.

Kitendo hiki kilikuwa kufuatia kesi ambayo Ferdinand Waititu alivyovunja sheria ya ununuzi na kutumia mamlaka yake visivyo.

Msuada uliowasilishwa katika bunge hilo na Mwakilishi Wadi (MCA) Solomon Kinuthia wa Ndenderu ulikuwa umewekwa kwa wabunge 63 kati ya 92.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →