This archive report was first published on 18 December 2019.
Waziri wa Elimu Profesa George Magoha alitangaza matokeo ya mtihani wa KCSE 2019 mnamo December 18, 2019.
Alisema watahiniwa wa mwaka huu walifanya bora kushinda wale wa mwaka jana.
Wabuko Tony alikuwa mwanafunzi bora katika mtihani huo, akapata alama ya A yenye pointi 87.159. Alisomea shule ya upili ya wavulana ya Kapsabet.
Wengine walioshamiri kwenye mtihani huo na kunyakua nafasi za kumi bora ni:
- Barasa Maryanne Njeri - Kenya High - 87.0
- Aboge Odhiambo - Kapsabet Boys - 87.08
- Anthony Ochieng - Maseno School - 86.9
- Natasha Wawira Kenya - High School - 86.1
- Kizito Ezra – Moi High School - 86.9
- Long’ali Chemangat - 86.924
- Ndathi Hellen Njoki – Kenya High- 86.914
- Siele Chelagat – Moi Forces Academy Lanet - 86.900
- Laura Chelagat Ruto- St Brigids Kiminini- 86
Profesa Magoha alisema watahiniwa wa mwaka huu walifanya bora kushinda wale wa mwaka jana.