Skip to main content

Mama na Bintiye Wapatikana Wameuwawa Kinyama Nyumbani Kwao

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 16 December 2019.

Mama na Bintiye Wapatikana Wameuwawa Kinyama Nyumbani Kwao

Polisi walilazimika kuvunja mlango wa nyumba hiyo ambapo walimpata mama huyo na mwanawe wakiwa wamefariki dunia.

Wakati huo huo, mwili wa mwanamume anayeshukiwa kuwa mume wa mama huyo ulipatikana kilomita chache kutoka kwa nyumba hiyo ambapo mkewe na mwanao waliuliwa.

Uchunguzi kuhusu mauaji hayo yenye utata ulianzishwa baada ya miili ya mama huyo na mwanawe kugunduliwa na alama kadhaa za kudungwa kisu.

Polisi walilazimika kuvunja nyumba na kuwapa miili ya mama huyo na mwanawe Chumba cha Kuhifadhi maiti cha Kago.

Uchunguzi kuhusu mauaji hayo ulianzishwa baada ya miili ya mama huyo na mwanawe kugunduliwa na alama kadhaa za kudungwa kisu.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →