Skip to main content

Moses Kuria: Waziri Munya Alinitishia Usiku Nisiwahi Fika Meru

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 13 December 2019.

Wanasiasa wa Mlima Kenya wamekabili Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria baada ya kusema wakazi wa eneo hilo wanateseka chini ya uongozi wa Rais Uhuru Kenyatta.

Alisema waziri wa Biashara Peter Munya alimpigia simu na kumtisha kuhusiana na msimamo wake kisiasa.

Matamshi ya Kuria yamekuwa yakiwasha joto la kisiasa huku baadhi ya watu wakisema anamkosea heshima Rais Kenyatta.

Alisema Waziri Munya alinipigia simu saa tano usiku na kumtaka awache kumkosea heshima Rais Kenyatta.

"Siku nyingine waziri wa Biashara Peter Munya alinipigia simu saa tano usiku na kunionya kuwa nisijaribu kufika Meru eti kwa sasa nimemtusi Rais," Kuria alisema.

Alisema Waziri Peter Munya alimtishia asijaribu kufika Meru.

Waziri wa Biashara Peter Munya na Gavana Anne Waiguru wamekwaruzana na Kuria huku akidai sasa wanamtisha.

Alisema wakazi wa eneo hilo wanateseka chini ya uongozi wa Rais Uhuru Kenyatta.

Alisema waziri wa Biashara Peter Munya alimpigia simu na kumtisha kuhusiana na msimamo wake kisiasa.

Matamshi ya Kuria yamekuwa yakiwasha joto la kisiasa huku baadhi ya watu wakisema anamkosea heshima Rais Kenyatta.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →