This archive report was first published on 13 December 2019.
Polisi wawasaka washukiwa wawili ambao walijinasua kutoka kwenye minyororo ya jela wakati maafisa walikuwa wakisherehekea maadhimisho ya 56 ya Jamhuri Dei mnamo Disemba 12, 2019.
Washukiwa hao, Sahial Marsale Abdi na Mwanzia Kitungu, walikamatwa kwa kuhusika na visa vya uhalifu baada ya kuhepa kutoka kwenye kituo cha Makindu wakati polisi wawili walikuwa wameshika doria.
Maafisa waligundua kwamba washukiwa hao hawakuwa miongoni mwa wenzao wakati orodha ya maabusu ilikuwa inachukuliwa.
Polisi wawasaka washukiwa wawili waliotoroka kizuizini. Picha: Daily Nation.
Maafisa waligundua kwamba washukiwa hao hawakuwa miongoni mwa wenzao wakati orodha ya maabusu ilikuwa inachukuliwa.
Washukiwa walikamatwa kwa kuhusika na visa vya uhalifu.
Maafisa waligundua kwamba washukiwa hao hawakuwa miongoni mwa wenzao wakati orodha ya maabusu ilikuwa inachukuliwa.