This archive report was first published on 12 December 2019.
Gavana wa Mombasa Hassan Joho amewathibitishia Wakenya kuwa anaipenda familia yake kwa kuchapisha picha akiwa na binti wake kwenye mtandao wa Instagram.
Alipakia picha yake akiwa na msichana mwenye umri mdogo, Wakenya wanaamini kuwa msichana huyo ni bintiye.
Wakenya walipongeza Joho kwa kujaliwa binti mrembo ambaye kila mzazi angependa kuwa naye.