Mama kutoka Mwiki acharazwa na mamake kumfulia nguo za mpenzi wake

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

Kituo cha Habari TUKO kinatoa habari za kusisimua kutoka Mwiki, Kiambu ambapo mama alijuta baada ya kutandikwa na mamake kwa kufulia nguo za mpenzi wake nyumbani kwao.

Alipomuuliza bintiye kuzihusu, mama alikiri zilikuwa ni za mpenzi wake na alizibeba ili amsaidie kuzifua.

Alipomwacha nguo hizo hala hala, mwanadada alizichukua na kuzirudisha kwa jamaa.

Maneno ya kidosho yalimpandisha mizuka mama ambaye aliamua kuzianua na kuzitupa chini.

"Hapa kwangu sitaki kuona vitu vya wanaume," mama aliwaka huku akimzaba bintiye makofi kadhaa.

Kituo cha Habari TUKO kinatoa habari za kusisimua kutoka Mwiki, Kiambu ambapo mama alijuta baada ya kutandikwa na mamake kwa kufulia nguo za mpenzi wake nyumbani kwao.

Next read

Syokimau Homeowners Pool Funds For Water Solutions As Developer Pushes Back To Retain Control

19 September 2026 · 5 min read

Luxore Apartments in Syokimau, where homeowners are embroiled in a dispute with the developer over water supply.