This archive report was first published on 11 December 2019.
Maonyesho ya sanaa Marekani yaliyoonyeshwa katika ukumbi wa sanaa wa kimataifa wa Basel uliopo Miami, ilikuwa na kikwazo kikubwa baada ya msanii mwingine kuila ndizi ya kwanza Jumamosi, Desemba 7 na baadaye kukamatwa na polisi.
Video zilizomuonyesha msanii wa vichekesho David Datuna akiila ndizi hiyo iliyokuwa katika maonyesho ya Cattelan yaliyofanyika katika ukumbi wa sanaa wa kimataifa wa Basel uliopo Miami, zilisambaa katika mitandao ya kijamii hasa Instagram.
David Datuna baada ya kuila ndizi ya msanii Maurizio Cattelan iliyokuwa imebandikwa ukutani. Picha:The Guardian
"Napenda kazi ya Maurizio Cattelan na hakika napenda bandiko hili. Ladha yake inapendeza sana," alisema David Datuna.
Wakati wa maonyesho hayo, nakala mbili za kazi hiyo zilinunuliwa kwa bei hiyo nayo ya $120,000, sawa na KSh12,000, na ingenunuliwa kwa dola laki 1 na elfu 50.
Maonyesho hayo yalikuwa na kikwazo kikubwa baada ya msanii mwingine kuila ndizi ya kwanza Jumamosi, Desemba 7 na baadaye kukamatwa na polisi.