Skip to main content

Kimada azua vurugu akitaka kutambuliwa katika mazishi ya marehemu

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 11 December 2019.

Hafla ya mazishi ya marehemu ilikuwa imeandaliwa eneo la Ngoliba, Thika, lakini kulizuka kioja kwa kulalamika kwamba alikuwa mpango wa kando wa marehemu.

Penyenye zinasema alisimama na kusema alikuwa na haki ya kuuona mwili wa mumewe, lakini waombolezaji walianza kumkemea na kumzuia aondoke kabla apewe kichapo.

Alipokuwa akiwa kwenye kichapo, mzee wa boma hilo alianza kumzomea, akisema "Kwanza wewe sio mtu wa familia hii na hufai kidai kuona mwili wa marehemu mbele ya jamaa zake na waombolezaji. Umetoka wapi wewe,".

Alisema aliamua kukanyaga kubwa kubwa baada ya kimada kupata aibu, na kufungwa kwenye kichapo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →