This archive report was first published on 10 December 2019.
Benachi amemaliza kipindi cha maisha magumu baada ya kuhamia Marekani na mkewe, na sasa anaishi maisha matamu.
Aliandika kwenye mtandao wa Instagram kwamba alikuwa na maisha magumu jijini Nairobi, lakini sasa ana gari la kifahari na familia nzima.
Aliandika, "Niliteseka sana wakati nilikuwa nikijitafutia riziki jijini Nairobi, sikuwahijua kuwa siku moja ningemiliki gari, hakuna anayejua mipango ya Mungu, kwa kweli Mungu ni mkuu."
Benachi pia alifichua kwamba hakuwa hata na nauli ya kumpeleka jijini wakati alipokuwa bado humu nchini.
Aliandika, "Niliteseka sana wakati nilikuwa nikijitafutia riziki jijini Nairobi, sikuwahijua kuwa siku moja ningemiliki gari, hakuna anayejua mipango ya Mungu, kwa kweli Mungu ni mkuu."
Benachi na mkewe wanaishi Marekani na kwa pamoja wamejaliwa mtoto mmoja.