Skip to main content

Gavana Sonko aliamatwa Ijumaa, Desemba 6 baada ya kuhusishwa na madai ya ufisadi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 7 December 2019.

Gavana Sonko aliamatwa Ijumaa, Desemba 6 baada ya kuhusishwa na madai ya ufisadi

Gavana wa Nairobi Mike Sonko aliamatwa Ijumaa, Desemba 6, baada ya kuhusishwa na madai ya ufisadi. Alipaswa kukamatwa na kufungwa pingu kabla ya kufikishwa katika makao makuu ya Tume ya Kupambana na Ufisadi (EACC) eneo la Upperhill chini ya ulinzi mkali.

Wakili Miguna Miguna amewashambulia makachero waliomtia nguvuni Gavana wa Nairobi Mike Sonko. Miguna alisema kwamba hatua ya kumkamata Sonko imechochewa kisiasa.

Aliongeza kwamba iwapo madai yanayomkabili mwanasiasa huyo ni ya ufisadi basi pia kunao viongozi wengine ambao wanapaswa kukamatwa.

Wakili Miguna Miguna awaingilia makachero waliomkamata Gavana Sonko, asema hana imani nao. Picha: The Standard.

Alisema kwamba serikali ilitumia vibaya pesa za umma kuwatuma Voi maafisa takriban 150 kumnasa kiongozi huyo.

Wakili Miguna Miguna amesema kwamba hatua ya kumkamata Gavana Sonko imechochewa kisiasa. Picha: Citizen.

Aliongeza kwamba iwapo madai yanayomkabili mwanasiasa huyo ni ya ufisadi basi pia kunao viongozi wengine ambao wanapaswa kukamatwa.

Wakili Miguna Miguna awaingilia makachero waliomkamata Gavana Sonko, asema hana imani nao. Picha: Captain Dominic.

Alisema kwamba serikali ilitumia vibaya pesa za umma kuwatuma Voi maafisa takriban 150 kumnasa kiongozi huyo.

Wakili Miguna Miguna amesema kwamba hatua ya kumkamata Gavana Sonko imechochewa kisiasa. Picha: Citizen.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →