Skip to main content

Seneta Murkomen Amtetea Sonko, Adai Alikamatwa Kutokana na Msimamo Wake wa Kisiasa

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 7 December 2019.

Seneta Murkomen Amtetea Sonko, Adai Alikamatwa Kutokana na Msimamo Wake wa Kisiasa

Seneta wa Elgeyo Marakwet, Kipchumba Murkomen, amemtetea Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, ambaye alikamatwa Ijumaa kwa madai ya ubadhirifu wa KSh 357 milioni.

Seneta Murkomen amesema kwamba Gavana Sonko anaandamwa kutokana na msimamo wake wa kisiasa na kwamba wachache wanaohisi anawakwaruza na msimamo wake wa kisiasa.

Alisema hivyo kwa kujieleza kwa ukurasa wake wa Twitter, ambapo alimtakia kila la heri Gavana Sonko, ambaye alimtaja kama rafiki wake wa karibu.

"Gavana Sonko ni mshukiwa tu na itasalia hivyo hadi pale ambapo ushahidi wa kutosha utatolewa dhidi yake. Ni rafiki yangu na namtakia kila la heri," alisema Murkomen.

Alisema pia kwamba magavana wengine wengi hawajatiwa nguvuni kufuatia madai ya ufisadi.

Seneta Murkomen amemtetea Gavana Sonko baada ya alikamatwa na kuingizwa ndani ya ndege ya polisi iliyomsafirisha hadi Nairobi.

Alisema kwamba Gavana Sonko anaandamwa kutokana na msimamo wake wa kisiasa na kwamba wachache wanaohisi anawakwaruza na msimamo wake wa kisiasa.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →