Skip to main content

Mtoto wa Mchekeshaji Nchebere Atokea, Awaomba Wakenya Kumtafuta

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 6 December 2019.

Mtoto wa mchekeshaji maarufu Nchebere ametokea, na kwa hivyo amewaomba mashabiki wake kumsaidia kumtafuta.

Kwa ujumbe wake kwenye mtandao wa Facebook, Nchebere alisema mwanawe alitoweka Alhamisi Disemba 5 mwendo wa saa tatu asubuhi na kufika sasa hajulikani alipo.

Nchebere alisema mwanawe aliondoka nyumbani kwao Kanyakine bila kumuarifu yeyote alikokuwa akielekea.

"Iwapo umemuona mtoto wangu tafatadhali wasiliana nami kwenye nambari ya simu 0794452249 au 0721812124, mtoto wangu aliondoka nyumba Alhamisi Disemba 5 mwendo wa saa tatu asubuhi bila kusema alikokuwa akielekea, anaitwa Griffin Pablo na yuko na umri wa miaka minane, nyumbani kwao ni Kanyakine karibu na hospitali," Nchebere aliandika Instagram.

Ikiwa una habari kumuhusu mtoto huyo, unaweza wasiliana nasi hapa Nyakundi Report.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →