Skip to main content

Kulizuka katika Boma la Baba Mkwe: Vita vikali vya Pombe

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 4 December 2019.

Kituo cha habari cha Taifa Leo linaeleza kwamba kulizuka kwa pombe kati ya familia kutoka upande wa binti na jamaa baada ya kuanza kulumbana kuhusu mahari.

Uhasama ulizuka muda mfupi baada ya pombe waliyokuwa wakibugia kukolea.

Stimu zilipowapanda zaidi walinyosheana vidole na kuinuliana bakora wakitaka kutandikana kila mmoja wao akitaka kuonesha ubabe wake.

Penyenye zinasema vita vikali vilizuka mahali hapo na kuwalazimu majirani kuingilia kati na kudhibiti hali huku pombe ikitapakaa kila mahali.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →