Skip to main content

Ninja, Mwigizaji wa Mother-in-law, Amejifunza Maisha Matamu na Mkewe Mzungu

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 2 December 2019.

Aliyekuwa mwigizaji katika kipindi cha Mother-in-law Jeff Okello, anayejulikana kama Ninja, amethibitisha kuwa anaishi maisha matamu na mkewe mzungu.

Jeff Okello, ambaye pamoja na mkewe wamejaliwa watoto wawili wasichana, wamekuwa wakiishi Ulaya kwa miaka kadhaa sasa.

Jeff Okello alimuoa mkewe akiwa Kenya kabla ya kuhamia Ulaya.

Alionekana akiwa katika chuo kikuu kikuu ambacho hakijatambulika, na picha kadhaa alizochapisha kwenye mtandao zinaonyesha kuwa huenda Ninja bado anaendeleza masomo yake.

TUKO.co.ke iliweza kukuandalia picha murwa za mwigizaji huyo na bila shaka utaamini kuwa anafurahia maisha kule Ulaya.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →