Skip to main content

Magazeti ya Kenya Jumatatu, Novemba 2: Makanga apigwa faini ya KSh 20,000 kwa kuiba KSh 400

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 2 December 2019.

Magazeti ya Kenya Jumatatu, Novemba 2

Magazeti ya Jumatatu, Novemba 2, yameangazia hisia mseto inayozingira ripoti ya Jopo la Maridhiano (BBI) huku wanasiasa wakijadiliana endapo kutakuwa na kura ya maamuzi ama bunge.

Magazeti haya pia yameripoti kuhusu mvua kubwa unaoshuhudiwa na kusababisha mafuriko katika baadhi za maeneo nchini.

Magazeti ya Kenya Jumatatu, Novemba 2, yamepia hisia mseto inayozingira ripoti ya Jopo la Maridhiano (BBI).

Magazeti haya pia yameripoti kuhusu mvua kubwa unaoshuhudiwa na kusababisha mafuriko katika baadhi za maeneo nchini.

Walimu wanaanza kusahihisha Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE)

Walimu 26,000 wameanza zoezi la kusahihisha Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) uliokamilika wiki iliyopita.

Walimu hao watakuwa wakifanya kazi kutoka saa moja asubuhi hadi saa tano usiku kila siku.

Makanga apigwa faini ya KSh 20,000 kwa kuiba KSh 400

Kondakta wa matatu aliyeshutumiwa kwa kumuibia mwenzake KSh 400 ameamurishwa kulipa faini ya KSh 20,000 au kuhudumia kifungo cha miezi miwili gerezani.

Alidai kwamba makanga wa Kenya Bus Service alikata kumlipa pesa zake na kwa hivyo kuamua kuiba.

Walimu wamelalamikia vitabu vipya vya CBC

Walimu wamelalamikia dhidi ya vitabu vipya ambavyo vinatumika katika mtaala mpya wa CBC.

Wanazua kwamba vitabu hivyo ni vya viwango vya chini na wanaiomba Wizara ya Elimu kuboresha matini ya vitabu hivyo.

Watahiniwa milioni moja watajua hatima yao Jumatatu, Desemba 2

Watahiniwa milioni moja waliofanya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE) watajua hatima yao Jumatatu, Desemba 2.

Wizara ya Elimu inapania kutangaza matokeo ya shule watakazojiunga nazo za serikali.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →