Skip to main content

Mtangazaji Alex Mwakideo Afichua Kwa Nini Hanywi Pombe

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 30 November 2019.

Mtangazaji wa redio Alex Mwakideo amefichua ni kwa nini huwa haburudiki kwa kunywa pombe. Alisame kwa sababu ya heshima ya mamake, ambaye alimpoteza mwezi Mei 2019.

Mwakideu alifichua hayo baada ya kuweka picha kwenye mtandao ambapo alikuwa amezungukwa na mvinyo. Hata hivyo, aliwajulisha wafuasi wake kuwa yeye huwa ni mpenda mvinyo.

"Mimi huwa sinywi pombe kabisa. Nilifanya uamuzi huo kwa sababu ya mamangu," alisema mtangazaji huyo.

Mtangazaji huyo pamoja na mwenzake Jalang'o wamekuwa wakiwika kwenye redio ya Milele ambapo huwasilisha kipindi cha asubuhi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →