Skip to main content

Polisi wamsaka mhubiri aliyewavamia watoto wakike

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 29 November 2019.

Polisi wa Kitui wameshaanza kuchunguza kisa cha mhubiri mwenye tamaa ambaye anadaiwa kuwahadaa na kuwapa ujauzito wasichana 20.

Alidaiwa kuwabaka wasichana hao baada ya kuwaweka nyumbani kwake na kuwaahidi kuwaombea ili wapokee muujiza kwenye mtihani wa darasa la nane KCPE.

Polisi wamesema tayari wasichana kumi waliokolewa kutoka kwenye nyumba moja walipokuwa wamefichwa na mchungaji huyo.

Alhamisi Novemba 28, mzazi mmoja alifumbua njama ya mchungaji baada ya kupata habari kuwa msichana wake alikuwa amegeuzwa kuwa kitoweo.

Alivamia nyumbani kwa mchungaji akiwa na hamaki na ndipo mengi yakafichuka.

Alipofika nyumbani, alikutana na mke wa mchungaji ambaye alikuwa na hamaki na ndipo mengi yakafichuka.

Polisi wamesema mke wa mchungaji huyo alikamatwa lakini pasta mwenyewe akaingia mitini.

Aliporuka mtego wa polisi, akaingia mitini baada ya hulka yake kufichuka.

Alisema walimkamata mke wa pasta huyo ambaye anasaidia maafisa wa polisi katika uchunguzi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →