Skip to main content

Mbwa Mmoja Kutoka Florida, Marekani, Aliendesha Gari La Mmiliki Wake Kwa Saa Moja

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 24 November 2019.

Mbwa mmoja kutoka Florida, Marekani, alikuwa na kipindi cha kuendesha gari la mmiliki wake kwa saa moja kabla ya kushuka kwa makini bila kumjeruhi yeyote.

Aliporudiwa nyuma, mbwa huyo alianza kuliendesha gari hilo kwa kuzunguka karibia saa moja kabla ya kushuka kwa makini.

Alipovunja sanduku la barua la jirani na pia mabiwi ya takataka, hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kufuatia kisa hicho huku mmiliki wa mbwa hiyo akiahidi kukarabati sanduku hilo.

Wakazi wa Port St. Lucie, Florida, walishuhudia kioja wakati mbwa huyo alirukia gari la mmiliki wake na kuanza kuendesha.

Aliporudiwa nyuma, mbwa huyo alianza kuliendesha gari hilo kwa kuzunguka karibia saa moja kabla ya kushuka kwa makini.

Wakazi wa Port St. Lucie, Florida, walishuhudia kioja wakati mbwa huyo alirukia gari la mmiliki wake na kuanza kuendesha.

Aliporudiwa nyuma, mbwa huyo alianza kuliendesha gari hilo kwa kuzunguka karibia saa moja kabla ya kushuka kwa makini.

Wakazi wa Port St. Lucie, Florida, walishuhudia kioja wakati mbwa huyo alirukia gari la mmiliki wake na kuanza kuendesha.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →