This archive report was first published on 18 November 2019.
Wakazi wa kaunti ya Mandera wamekuwa wakifunika vichwa vyao kwa sufuria ili kuzuia kushambuliwa na ndege hao.
Shirika la wanyama pori KWS limepinga kuwepo kwa ndege hao katika kaunti hiyo, licha ya kuripotiwa kuwa walitoka nchini Ethiopia.
Shirika hilo liliahidi kuchunguza kisha hicho, lakini kwa zaidi ya mwezi mmoja hakuna hatua ambayo imechukuliwa.
Wakazi wamekuwa wakifunika vichwa vyao kwa sufuria ili kuzuia kushambuliwa na ndege hao, na ndege hao wanasemekana kuwalenga sana watoto hasa wa umri wa chini ya miaka kumi.
Shirika la wanyama pori KWS limepinga kuwepo kwa ndege hao katika kaunti hiyo, licha ya kuripotiwa kuwa walitoka nchini Ethiopia.
Published on November 18, 2019