This archive report was first published on 17 November 2019.
Unga wa Soko Wagunduliwa Kuwa na Aflatoxin ¶
Idara ya Afya ya Kaunti ya Kiambu imefanya utafiti wa unga wa mahindi wa chapa ya Soko na kupatikana kwamba ni hatari kwa afya ya binadamu.
Maafisa wa Afya wa Umma wameagizwa kukagua na kupiga marufuku unga huo kutoka kwa kampuni hiyo kutumiwa shuleni, hotelini na kuuzwa madukani.
Ufichuzi huo ulizua mjadala mkali huku baadhi ya Wakenya wakisuta Shirika la Kutathmini Ubora wa Bidhaa (KEBS) kwa kuwaruhusu wananchi kula sumu.
Shirika la Kutathmini Ubora wa Bidhaa (KEBS) lilipiga marufuku chapa tano za unga wa mahindi wa Soko baada ya kutambua kwamba kampuni hizo ziliuza bidhaa zao bila kufuata sheria za ubora wa bidhaa.
Ufichuzi huo ulizua mjadala mkali huku baadhi ya Wakenya wakisuta KEBS kwa kuwaruhusu wananchi kula sumu.
Maafisa wa Afya wa Kiambu wanapania kufanya ukaguzi wao katika maduka ya jumla, shule na viwanda.