Skip to main content

Miili inayoaminika kuwa ya mama na watoto waliotoweka yapatikana Nanyuki

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 16 November 2019.

Meja Peter Mugure alitiwa nguvuni Ijumaa, Novemba 16, siku ishirini na sita baada ya kutoweka kwa mama yake na watoto wake wawili, Syombua na wanawe.

Uchunguzi uliopo unadai kwamba familia hiyo ilishiriki maankuli ya mchana kabla ya kujivinjari usiku huo, lakini yaliyotokea baada ya hapo bado haijafafanuliwa.

Meja Mugure alikuwa ameamriwa na mahakama kuwajukumikia wanawe baada ya uchunguzi wa msimbojeni kuthibitisha walikuwa ni watoto wake.

Uchunguzi wa DCI ulikuwa umekamilika, na miili ya watatu hao ilipatikana imezikwa eneo la Thingithu, maili chache tu kutoka kambi ya jeshi ya Nanyuki.

Upasuaji wa miili hiyo utafanywa ili kubaini iwapo ni ya Syombua na wanawe.

Meja Peter Mugure akiandamana na maafisa wa polisi katika kituo cha Nanyuki. Picha: The Standard.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →