This archive report was first published on 13 November 2019.
Sehemu ya Mbeere ya kusini kaunti ya Embu ilikuwa na mvua kubwa ambayo ilionyesha katika kaunti ya Embu na kusababisha kuongezeka kwa miraa na kusababisha bei kuteremka kwa kiasi cha kutisha. Mvua hii ilikuwa na athari kubwa kwa wafanyabiashara wa miraa na wale wa Muguka kutoka Embu na Meru.
Wafanyabiashara wa miraa na wale wa Muguka kutoka Embu na Meru walikuwa wakipambana na mashindano ya biashara kati ya Miraa na Muguka katika soko la Kamuketha mjini Embu. Wafanyabiashara wa miraa kutoka Meru walikuwa wakilaumiwa na wale wa Embu kwa kununua Muguka na kuchanganya na majani kutoka katika miraa ya Meru na hivyo basi kawaharibia wafanya biashara wa Muguka kazi zao.
Wakulima wa Muguka wanasema kuwa Muguka ni lazima uvunwe kwa haraka kila baada ya wiki moja la sivyo majani yanarefuka na kuegeuka rangi kuwa kijani kibichi na ilhali ikiwa michanga huwa na rangi kati ya dhahabu na nyekundu. Wakulima wanasema kuwa hata kama mashindano ya wanunuzi wa jumla kunachangia kuweko kwa bei tofauti kwa kila kilo ya Muguka kila mkulima anayefika sokoni hurejea nyumbani na tabasamu usoni mbali na kuwa na pesa mfukoni.
Wakulima wa Muguka wanasema kuwa hata kama mashindano ya wanunuzi wa jumla kunachangia kuweko kwa bei tofauti kwa kila kilo ya Muguka kila mkulima anayefika sokoni hurejea nyumbani na tabasamu usoni mbali na kuwa na pesa mfukoni. “Sipendi kuwasikia wakulima wa Muguka wakilalamikia bei mbaya za Muguka kwani mbali na bidhaa nyingi za kilimo wanazojihusisha nazo hakuna bidhaa yoyote inayofikishwa sokoni na kuuzwa kijumla baada ya dakika chache tu tena kwa bei za kufurahisha,” anasema mkulima Bw Kigondu Ndavano.
Wakulima wa Muguka wanasema kuwa hata kama mashindano ya wanunuzi wa jumla kunachangia kuweko kwa bei tofauti kwa kila kilo ya Muguka kila mkulima anayefika sokoni hurejea nyumbani na tabasamu usoni mbali na kuwa na pesa mfukoni. “Ingawa wakati wa mvua wakulima hawatumii maji na madawa ya wadudu kama wakati wa kiangazi hata hivyo kunawili kwa mumea huu kumesababisha kuvurika kwa Muguka katika masoko ya Embu, Mbeere na Kirinyaga,” anasema Bw Lenny Njiru.