Skip to main content

Nyota wa Mchezo wa WWE Matt Travis Afariki Dunia

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 12 November 2019.

Nyota wa Mchezo wa WWE Matt Travis Afariki Dunia

Nyota wa mchezo wa WWE Matt Travis amefariki dunia kwa ajali ya barabarani, akiwa na umri wa miaka 25. Kifo chake kimepata pigo kubwa katika nyanja ya miereka.

Matt Travis alikuwa mwanamiereka chipukizi ambaye alishiriki katika michezo ya miereka ya House of Glory, CZW na Gamechanger Wrestling. Alipata risala za rambi rambi kutoka mashabiki pamoja na mastaa wa WWE na AEW.

Mkufunzi wake, Amazing Red, alithibitisha kifo hicho kupitia kitandazi cha Twitter, huku akidokeza kuwa kisa hicho kimemwathiri pakubwa.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →