This archive report was first published on 12 November 2019.
Mamake Diamond alipoteza simu yake mnamo Novemba 8, jijini Dar es Salaam, wakati alikuwa amehudhuria matayarisho ya tamasha la Wasafi Festival.
Simu hiyo iliporwa na kijana asiyemfahamu, na kisha kijana huyo alikimbia.
Polisi walikamata kijana huyo baada ya kundi la watu kumpiga kichapo cha mbwa msikitini.
"Mimi hivi sielewi. Nimefika hapa kisha nikawaona watu wamezingira gari langu," alielezea mama huyo.
Polisi walipuuzwa wito wa mamake Diamond kumwachilia kijana huyo, na kwa hivyo kijana huyo alikamatawa na polisi.
Source: Instagram