This archive report was first published on 11 November 2019.
Shirika la Kukadiria ubora wa Bidhaa nchini (KEBS) lilipiga marufuku bidhaa za unga kutoka kampuni tano ambazo zinaaminiwa kuwa na viwango vya juu vya aflatoxins mnamo Jumamosi, Novemba 9, 2019.
Utafiti uliofanywa na Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi (MTRH) Eldoret, ulionyesha kuwa sumu ya aflatoxin husababisha saratani.
Viwango vya juu vya sumu ya aflatoxin vimebainika kuwa katika baadhi ya mihogo, mahindi, njugu, mchele, na baadhi ya bidhaa za maziwa.
KEBS ilipiga marufuku usambazi na uuzaji wa bidhaa za kampuni saba za siaagi ya karanga, kwa kuwa ilipatikana kuwa na aflatoxins.
Mapema wiki iliyopita, KEBS ilipiga marufuku usambazi na uuzaji wa bidhaa za kampuni saba za siaagi ya karanga, kwa kuwa ilipatikana kuwa na aflatoxins.
Utafiti uliofanywa na MTRH ulionyesha kuwa ulaji wa vyakula fulani vyenye sumu aina ya aflatoxin, huongeza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata saratani miongoni mwa watu.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsApp: 0732482690.