This archive report was first published on 5 November 2019.
Wakenya, Ulimwengu Mzima Wamtakia Heri Njema Eliud Kipchoge Siku Yake ya Kuzaliwa ¶
Wakenya na ulimwengu mzima wamkutia heri Eliud Kipchoge, mwanariadha bingwa wa marathon, siku yake ya kuzaliwa, Oktoba 5, 2022.
Shirika la mawasiliano la Safaricom liliandika kwenye mtandao wa Twita: "Kwa Mkenya aliyeandikisha historia kote ulimwenguni katika riadha, tunakutakia kila la heri siku yako ya kuzaliwa, tunakutaki miaka mingi duniani."
Wanariadha wengi wa ulimwengu waliitikia Eliud Kipchoge kwa heri yake ya kuzaliwa. Hivi karibuni, Kipchoge alitangazwa kuwa mtu wa kwanza duniani katika historia ya mbio za marathon kukimbia kilomita 42 kwa muda wa chini ya saa mbili.