Skip to main content

Watu 5 Wafariki Dunia Wakiwa Safarini Kuelekea Mazishi Naivasha

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 4 November 2019.

Naivasha, Oktoba 4, 2019 - Ajali mbaya iliyotokea barabara ya Naivasha kuelekea Nakuru ilikuwa na matokeo makubwa, ikasababisha kifo cha watano hao walioangamia.

Watu hao walikuwa wakielekea kwenye hafla ya mazishi eneo la Karagita, huku dereva wa lori akiachwa na majeraha mabaya.

Naibu kamanda wa polisi kaunti ya Naivasha John Kwasa alidhibitisha ajali hiyo akisema gari la kibinafsi liligongana na lori na kusababisha vifo vya watano hao.

Watano hao walikuwa wanawake wanne na mtoto mmoja ambao walifariki papo hapo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →