Skip to main content

Polisi waliswaga gari la Besigye, wamkamata na kumchukua kusikojulikana

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 4 November 2019.

Polisi nchini Uganda waliokuwa wametumwa Jumatatu, Novemba 4, 2019, wamemkamata Dkt Kizza Besigye baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa chama cha Forum for Democratic Change (FDC).

Alipokuwa akirejea afisi za chama chake, Besigye alikamatwa na kuchukuliwa kwa sababu ya kufanya mkutano uliozuiwa na polisi.

Polisi walimwingiza Besigye katika gari lao lililokuwa likisubiri na kumpeleka katika kituo cha polisi ambacho hakijatajwa.

Mapema polisi walikuwa wamewazuia maafisa wa FDC kufanya mkutano wao wa kila wiki katika uwanja huo wa michezo.

Alipokuwa akirejea afisi za chama chake, Besigye alikamatwa na kuchukuliwa kwa sababu ya kufanya mkutano uliozuiwa na polisi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →