Skip to main content

Wakenya Wamekopa KSh 140 Bilioni Kutoka Kwa Huduma ya Fuliza

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 2 November 2019.

Wakenya wamekopa KSh 140 bilioni kutoka kwa huduma ya kampuni ya mawasiliano ya Safaricom, Fuliza, kwa muda wa miezi 9.

Iliongezeka kwa matumizi ya huduma hiyo, Fuliza, liliinua mapato ya M-Pesa kuanzia mapema Januari, mwaka huo.

Viwango vya mapato vinavyotokana na malipo ya kwa njia ya simu viliinuka na kukaribiana na vile vya matumizi ya kawaida ya maongezi.

Wakenya wafuliza KSh 140 bilioni kwa muda wa miezi 9.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →