Skip to main content

Wabunge Wazua Kioja Baada ya Kushindwa Kuzungumza Kiswahili

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 2 November 2019.

Wabunge wa Kenya waliishindwa kuzungumza kiswahili wakati wa mjadala wa bunge la Novemba 1, 2019, wakati wa mjadala wa mswada wa Naibu Spika Moses Cheboi.

Naibu Spika Moses Cheboi alianza kwa utani baada ya kumpa kiongozi wa wengi Aden Duale kamusi ambapo atakuwa akirejelea anapofanya mchango kwa kutimia kiswahili.

Wabunge walishindwa kuzungumza kiswahili licha ya kuwa ni lugha ya taifa. Picha: Bunge TV

Aden Duale alizua kicheko kwa kutumia methali visivyo. Picha: Standard

Spika Justin Muturi vile vile hakuwachwa nje kwani hakuifahamu lugha kisarufi huku wakati mmoja akizua kicheko kwa kutamka 'shule za kuchekea' badala ya shule za chekechea.

Bunge la Kenya liko kwenye juhudi za kupunguza mijadala kwa lugha ya Kiingereza na badala yake wabunge watoe michango yao sana kwa kiswahili.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →