Skip to main content

Mtangazaji Mwanaisha Chidzuga ajivinjari na mumewe baada ya kujiuzulu

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 31 October 2019.

Mtangazaji wa lugha ya Kiswahili katika runinga ya K24, Mwanaisha Chidzuga, ameonekana akijivinjari na mumewe siku moja tu baada ya kujiuzulu kutoka katika shirika la utangazaji la Mediamax.

Chidzuga alichapisha picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa pamoja na mumewe Danson Mungatana.

Chidzuga alijiuzulu Jumatano, Oktoba 30, 2018, ambapo alisema anataka kuelendelea na biashara yake ya upishi ila atarejea kwenye televisheni hivi karibuni.

Alijiunga na shirika la Mediamax mwaka wa 2013 baada ya kufanya kazi katika shirika la The Standard kwa miaka kadhaa.

Shirika la Mediamax linafuta kazi zaidi ya wanahabari 160 kwa kile kinachodaiwa kuwa hali ngumu ya kiuchumi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →