Skip to main content

Mahakama Yaagiza Vilabu Vya Kiza, Space Lounge, B Club Vifungwe

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 28 October 2019.

Imebainika kuwa vilabu hivi vinafanya kazi kwa saa nyingi na kuweka muziki kwa sauti ya juu kila siku, na wateja wao kulewa chakari huku wakiwaonyesha picha mbaya watoto wao ambao wako chini ya umri wa miaka 18.

Wakazi wa mtaa wa Kilimani jijini Nairobi walidai kuwa vilabu hivyo hutoa kelele nyingi kila mara wakati wa burudani, na kuweka muziki kwa sauti ya juu kila siku.

"Vilabu hivi huweka muziki kwa sauti ya juu sana, wateja wao hutupa taka kila mahali na huwa walevi kupindukia, hiyo sio picha nzuri kwa watoto," sehemu ya malalamishi kutoka kwa wakazi ilisoma.

Imeagizwa kuwa serikali ya kaunti ya Nairobi itavyonyang'anya leseni vilabu hivi haraka iwezekanavyo.

Imeagizwa hii baada ya Halmashauri ya usimamizi wa mazingira nchini NEMA kuahidi kukabiliana na maeneo ya burudani yanayotoa kelele nyingi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →