Skip to main content

Uhuru, Raila ataaibishwa kwa Kibra - Nelson Havi

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 28 October 2019.

Uhuru, Raila ataaibishwa kwa Kibra

Uchaguzi mdogo wa Kibra ambao umeratibiwa kuandaliwa Alhamisi, Novemba 7, unaweza kuwaibisha Rais Uhuru Kenyatta na mwenzake Raila Odinga, kwa kusema wa wakili Nelson Havi.

Wakili Havi amesema kwamba Uhuru ataaibishwa kwa sababu kundi la Kieleweke linaendeleza kampeni ya mgombea wa ODM Imran Okoth, huku Raila pia ataaibishwa kwa sababu viongozi wa NASA wameendeleza kampeni kali katika eneo hilo.

Msafara wa Mudavadi ulishambuliwa kwa mawe mnamo Jumapili na kundi la vijana, na kumlazimu kiongozi huyo kukimbilia usalama wake.

Awali, mgombea wa Jubilee Mariga pia gari lake liliharibiwa na mali nyingine ya kampeni kuharibika.

Wakili Havi amesema kwamba Uhuru ataaibishwa kwa sababu kundi la Kieleweke linaendeleza kampeni ya Imran Okoth, huku Raila pia ataaibishwa kwa sababu viongozi wa NASA wameendeleza kampeni kali katika eneo hilo.

"Uhuru Kenyatta na Raila Odinga huenda wakaaibishwa Kibra. Uhuru, endapo Mariga atashinda, kikosi chake cha Kieleweke wakimuunga mkono Imran, na Raila, endapo Owalo ama Mariga watashinda kufuatia kampeni chafu ya vurugu katika mrengo wa NASA," aliandika Havi kwenye Twitter.

Wakili Havi amesema kwamba Uhuru ataaibishwa kwa sababu kundi la Kieleweke linaendeleza kampeni ya Imran Okoth, huku Raila pia ataaibishwa kwa sababu viongozi wa NASA wameendeleza kampeni kali katika eneo hilo.

Msafara wa Mudavadi ulishambuliwa kwa mawe mnamo Jumapili na kundi la vijana, na kumlazimu kiongozi huyo kukimbilia usalama wake.

Awali, mgombea wa Jubilee Mariga pia gari lake liliharibiwa na mali nyingine ya kampeni kuharibika.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →